Mh waziri @ummymwalimu clinical medicine students hususani ambao tunatakiwa kuingia mwaka wa 3 wizara imetupangia kufanya supplementary mwez august akat kawaida huwa n march now miezi 7 home kusubirk kufanya supplementary is not fair plz tunaomba uliangalie hilii