VIDEO:
Chama cha Wananchi (CUF) kimetaka kuundwa kwa Serikali ya Mpito (Caretaker Government) ya Tanzania itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru na wa haki, kikikataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa madai kuwa haukuwa huru, wa haki, wala wa kuaminika.
Akizungumza Novemba 5, 2025, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Makao Makuu ya CUF, Buguruni, Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, amesema chama chake hakitambui matokeo yaliyotangazwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), yaliyompa ushindi Rais Samia Suluhu Hassan kwa asilimia 97.66 ya kura, akidai matokeo hayo ‘hayawakilishi uhalisia wa maamuzi ya wananchi’.
Amesema hali ya usalama wakati wa uchaguzi ilikuwa ya kutisha, akitaja matukio ya mauaji na ukandamizaji wa raia, ambayo amesema yalizua hofu kubwa na kuondoa uhalali wa mchakato wa kidemokrasia.
CUF imesisitiza kuwa Rais Samia alipaswa kukamilisha kwanza mchakato wa Katiba Mpya, kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, na kuhakikisha haki za binadamu zinalindwa, kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa mwaka huu.
Kiujumla, maazimio ya CUF baada ya kufanya tathmini ya matokeo na mwenendo wa uchaguzi ni kukataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa msingi kuwa hayana uhalali wa kidemokrasia, kudai kuundwa kwa Serikali ya Mpito itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru, kuitaka Serikali kuunda Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu ulioripotiwa siku ya uchaguzi, kuhimiza mazungumzo ya kitaifa kwa ajili ya maridhiano na umoja wa kitaifa, kuelekeza bendera za CUF kupandishwa nusu mlingoti kwa mwezi mmoja kama heshima kwa waliopoteza maisha na kuwataka Watanzania kufanya ibada maalum tarehe 10 Novemba 2025 kwa kufunga na kuomba dua au misa kwa ajili ya amani na haki nchini.
@Cutyhusnah Watu wakitekwa hatukusikilizwa, watu wakiuliwa tulilalamika hawakusikia, rasilimali zikiibiwa watu walishupaza shingo, ila raia wamechoma kidogo mnapata nyege kwa kasi sana, Mnajisahaubkwa haraka sana. MIKUNDU YENU😡💔
Sikiliza jinsi WAZANZIBARI walivyoua watanganyika kikatili sana.
Huu muungano UNATAKIWA KUVUNJWA KWA NGUVU ZOTE. Yani watu wanakuja Kuua ndugu zetu kikatili hivi aisee. Hii imeniuma kinoma.
Repost
TUTAKUWEPO🫵😎
TUKUMBUSHANE NA HAIISHI MPAKA IISHE✊🏾
1. LAZIMA VITUO VYOTE VYA POLISI VICHOMWE MOTO
2. WATURUDISHIE WATU WETU WALIOWATEKA
3. WATUAMBIE #MDUDE#POLEPOLE#SOKA NA WENGINEO WAKO WAPI??
HAKIKISHENI MTU AKIUMIA HACHUKULIWI NA YALE MAGARI YA PT tuchukue watu wetu TAFADHARI🙏
HAKIKISHENI HATUWAACHI MYU WETU HATA MMOJA HII NI VITA YA HAKI🙏🙏🙏