Nilikuwa nasubiri nirudi instagram ili nianze kuwapostia upya ujangili wa kina Angela Kizigha na kina Mombo maana kwa sasa hakuna impact kubwa itakuwepo sababu sipo insta ila kutokana na hiyo appointment ya Kizigha leo imebidi niwape hii
Hii kampuni Magmop ni kampuni ya Angela Kizigha na iko registered kwa number yake ya simu, yani her own personal number. Mnaweza kucheki wenyewe ownership ya hii magmop.
Naomba muangalie magari yaliyoingiziwa Tanzania na hii kampuni ya Kizigha hiyo Magmop.
Alafu naomba angalieni magari yaliyoingizwa Tz kwa jina la mkuu wa Usalama wa taifa. Suleiman Mombo kaingiza Tanzania kwa jina lake mwenyewe migari kama yote, acha yale marolls Royce yaliyojaa ndani kwake.
Watanzania wanaibiwa kwa kiasi hiki na bado kuna Watanganyika wanafanya uchawa kwa kupewa laki 1.
Ninazo info nyingi zaidi nasubiri nirudi Instagram maana kuachia hizi info kwa sasa hakuna much impact.
Naombeni kila Mtanzania aangalie hayo magari yaliyoingizwa Tanzania kwa pesa za walipa kodi alafu ajiangalie kwenye kioo ajiulize kama yupo upande sahihi wa kudai haki.
Nchi hata maji safi ni shida ila ona Mabugatti yanaingizwa nchini na Angela Kizigha na bado anapewa appointment ya serikalini.
Mnaweza kuingia wenyewe kwenye hii website na kuingiza hizi info na kujihakikishia wenyewe.
@chapo255 Kama vyote ivo hauna majibu navyo basi amin mungu anaweza kukuumba, na kukupa sheria na ukaadhibiwa, sababu hata shetani aliasi amri za mungu na akalaaniwa na akaja kuwa mtihani kwetu Ila kwa iman ya dini tumefundishwa kujikinga na shetan na kutofanya mabaya
@chapo255 Chapo mimi na maswali kwako, je unaamini kuna kufufuliwa? Na je unaamini kuna adhabu kaburini? Je anaefanya usiku na mchana ni nani? Je anaekuamsha kutoka usingizini ni nani? Je ukiwa umelala unajua kinachoendelea? Na je unakumbuka vyote vya utotoni?
@JoyceHuru Unajuaje kwenye moyo wake? Uislamu unasema kumuekea mtu dhana(mafikirio) ni haram sababu utafikilia mabaya wakati hujui undani wake plz usije fananisha waislam na uislam maana wengine waislam wanafanya mambo kwa matamanio ya nafs zao
@JoyceHuru Maana mtoa hukumu na anaetujua vizuri ni m/mungu sio binadam, na kingine uislam na waislam vitu viwili tofaut sababu uislam umekamilika 100000% Ila sisi waislam sababu ni binadamu na sifa juu ya binadam lazima tuwe na makosa na mkamilifu pekee ni Allah,plz usiiseme dini vibaya🙏🏼
@JoyceHuru Anaendelea na mambo ya mungu,je kama Uncle T kupitia ramadhani hii akatubu toba ya kweli atakuwaje na makosa? Usimhukum mtu mpka atakapofikwa na umauti sababu ndo vitendo vyake duniani vitafika tamati Ila sababu yupo na uhai sharti sote tuombeane mwisho mwema bila kuhukumiana
@GustavoElVunga Aya moja maarufu kwenye qur an inasema “mwanaume ndo kiongozi kwa wanawake” na haifai mwanamke kuwa kiongozi ila wanafanya kwa matamanio ya nafs zao
@KenedyLena43672@PlanetFutbal@SimbaSCTanzania Kufunga swala ni mapambo na nisunnah na swala ni yakini yako ww kwa muumba wako na unyenyekevu na moja nguzo ya swala ni kunyenyekea kwa allah na kwa utulivu sasa unaweza kufunga mikono au kuacha kufunga mikono