If you think earth is hard on you,now Imagine having a Wife like that Tiktok lady called Shiko wa style. The one who sells imports from china. Mwanamke pere pere! Yaani mtu anaongea trrrrr nikama ni ile kamachine ya kuhesabu pesa bwana. I have tried watching several of her videos but its impossible. Yaani ata hakuna break, ata kupumua hakuna, ni trrrr 24/7, na volume niya crusade. Unajua mwanaume unaesajipata ata unalia aki kama niwewe umeoa huyo. Shes to chaotic. Mkiona jamaa wanafunga biashara saa tano usiku ndio wakienda nyumbani wapate bibi amelala,mjue hiyo ndio mambo iko nyumbani. Mimi wanaume huwa nawahurumia sana saa ingine. Khabusie!