@HKigwangalla Unaonaje Tukikuandalia Mdahalo Hapa Space Kati Yako Na Lissu
Mada Iwe Huu Mgogoro Wa Loliondo
Alafu Sisi Wasikilizaji Tutaamua Nani Wa Kumpuuza
Maana Kusema Tumpuuze Lissu Wewe Ndo Unajua Sana Mambo Ya loliondo Bila Kuwasikiliza Wote Utakua Hujatenda Haki
Unaonaje? Uko Tayari
@OleMtetezi Katika Mauzo yoooote hayo Wanaweza kutoa Faida kwa Wananchi ilo Tujue?
Wananchi Kuizwa tayari kwa Kuambiwa Ni Haki za Binaadamu kuhusu Us3ng3.
@IAMartin_@mhabukat@Nnauye_Nape Nchi Hii 90% ya Watu wanaokufanyia wana Uchungu na Uzalendo kwa Wananchi wao ni Waongo.
Nje huoneka wenzetu lkn ndani ya mioyo na akili zao Ni 💀.
Ni vigumu Sana kumwamini Kiongozi kwasasa.
@Balyx_@Kanenamagufa Kabisa. Watu wanaotumia Akili ilo Kujaza Matumbo Ni Tofauti na Watu wanaotumia Tumbo Kujaza Akili.
Akili Inatakiwa kuwa Na Njaa na Kiu Ya Kutafuta Solution. Akili za Hawa wa TZ Hazina Kiu Wala Njaa ya Kumaliza Changamoto Bali Zina Njaa ya Kujaza Utumbo Mpana Zaidi.
@TanzaniaLeaks Mara nyingi Sana watu huvaa Nguo ili (Uchi), Maungo Yao yasionekane. Lkn Mara zote Mioyo na Akili zao Zipo Uchi. Utawatambua Aidha kwa Maneno Yao au ht kwa Kukaa kwao Kimya.
@mshambuliaji Yaani huwezi kuificha Spirits lolote
Unavyokazana kushuoaza shingoNdivyo unavyo jionyesha umetumwa na upo Kikazi Kulipia Gharama za vile ulivyolipwa na Wakoloni.
Shame
@makayeharuni@berryk_outfits We Unajua viti gani vya maana zaidi ya kukatazwa na Mkoloni usioe wake ambao Utaweza kuwatosheleza badala Yake uwe Unapiga punyeto? Akili mbovu. Nenda kapangiwe na Mkoloni wachana na Mimi wewe mtumwa.
Sijui kuandika km WW Ila Nina akili kuliko wewe mtumwa. Kwendaa 😡😡
@makayeharuni@berryk_outfits Ww ni mpumbavu. Kuna mahala nimejifananisha na Ng'ombe au Ng'ombe amekuzidi wewe Akili kwa Kufuata Asili kuliko wewe coppy & paste toka kwa bwana wako?
Ww nenda kale Mwili na damu ya bwana wako km vampire. Mwanaume kujiita Bibi Harusi wa bwana ndio Upungufu wako wa akili. Bye
@makayeharuni@berryk_outfits Watu Kama wewe waliyokaririsjwa Uzungu na Imani za Kigeni kubishana nao Ni sawa na mimi Kunitukana mwenyewe. Sina muda mchafu wa watu Wenye Akili vhafu za Kitumwa.
@makayeharuni@berryk_outfits Na anaeoa wake Wanne Hana akili? Na Babu yako au wale Ancestors wako waliyokuwa na Wake 6 hawana akili au WW ambae unapanguwa watt wa kuzaa na same wa kulala nao ndio huna akiki6?
Pole kwa Utumwa 😝😝
@makayeharuni@berryk_outfits Uoikuwepo wakati wako anatoa maagizo tofauti na Yule Mungu wa wake Wanne? Umekaririshwa sinaida na mtumwa wa kukariri vya Wakoloni. Bye