🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
https://t.co/bkonJGPQ2J
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Bei ya mafuta inapanda Tanzania wakati soko la kimataifa bado liko kwenye mazingira yenye mabadiliko makubwa. Ni kweli gharama za kimataifa, usafirishaji na bima zinaathiri bei, lakini Serikali ina nafasi ya kutumia sera za kodi, tozo na ruzuku kwa muda maalum kupunguza mzigo wa dizeli bila kuvuruga mfumo wa bei.
Dizeli ni input muhimu katika usafirishaji, kilimo na uzalishaji. Kuipunguza bei kwa hatua iliyolengwa kunaweza kupunguza gharama za uzalishaji na usafirishaji, kupunguza pressure ya mfumuko wa bei na kusaidia uchumi kwa ujumla. Suluhisho si kupuuza bei ya dunia, bali kusimamia vizuri gharama zinazoweza kudhibitiwa ndani ya mfumo wetu.
jitihada zetu kama taifa za kujikwamua na umasikini hazitafanikiwa endapo kama tutaendelea kuwa na rais mwenye nguvu za kimalkia, huku ushiriki wa wananchi kwenye kuamua vipaumbele vyao ukiendelea kuwa ni wa kusuasua. mabadiliko ya katiba ni lazima.
🎥: izzy_pro_director:
Balile ajapona iki kipigo
alichapwa sana hapa, mpaka anasema tulikubaliana lugha, kumbe kabla ya hapa aliomba Lissu asimpige spana lakini anafika kwenye mahojiano anafanya ujinga
anapigwa spana anasema tulikubaliana hakuna spana
Deni la Serikali au Deni la mama? Mkienda kukopa zinakuwa fedha za mama. Tukianza kudaiwa tunaambiwa ni deni la Serikali. Mnaunda kakikundi kanaitwa ‘mama hana deni’. Mbogamboga kaeni sehemu moja. Mtueleze. Msituchanganye walipa kodi. Mama ana deni au hana deni?
Huyu kimeo Balile alishasema Ngorongoro hakuna hata kaburi moja eti mtu akizeeka ama kuugua wanapewa wanyama. Alisema kwenye mkutano wa waandishi na akina @mshambuliaji walikuwa wanatikisa vichwa kama vile ni kweli. Fala kabisa. Hii hapa link https://t.co/AqAk5uoMeo
@lifeofmshaba Ni kweli hawana akili.
Siku zote kuripoti mazurii ya ccm na kuripo uzushi kwa vyama vya upinzani
Taarifa za habari na vyombo vya habari nikama Mali ya ccm.... hawaripo mambo ya msingi.
Hawapo kwenye haki ila kuhabarisha upuuzi.
Lisu yupo sahihi 100%
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na "Ibada Research Consultancy Center (2025)", umebaini kuwa Mwanasiasa anayekubalika kwa sasa Tanzania ni @TunduALissu