💨 Miezi iliyopita niliwapa taarifa kuwa kwa sasa Whatsapp wameruhusu kutumia account zaidi ya moja kwenye Whatsapp.
Watu walikuwa wananiuliza
Unawezaje?
Leo nitakufundisha namna ya Ku-add, number nyingine ya Whatsapp kwenye simu yako Easy sana!!
Thread nzuri mkuu.. Nimejifunza haya:
1.Fanya Market na competitor Research (Bidhaa zipi zinatoka, bei gani zinauzwa, wapi wauza, nani anauza, etc
2.Chagua niche (Ni kitu gani cha mtumba unataka kuuza, Nguo za aina gani (Material) au kwa ajili ya watu gani “wanaume, wanawake, watoto, plus size” )
3.Tafuta Mentor (Mtu mwenye uzoefu wa hii biashara akupe muongozo)
4.Tengeneza Mkakati wa biashara
5.Fahamu utauzaje. Jumla au Reja Reja
6.Fahamu utafanyia wapi biashara. Utafungua Duka, Utauza Online, or Online na Dukani
7.Kama utauza online. Tengeneza kurasa za biashara na fahamu jinsi ya kuweka matangazo yanayowalenga wateja wako mtandaoni
8.Angalia Mauzo, Feedback za wateja
9.Fanya tathmini mara kwa mara
10.Kua na emergency fund(Hii kama ikitokea issue nje au ndani ya biashara)
11.Consistency x Hardwork x Not Giving up