#TajiriLaKihaya
Golden boot race;
🇫🇷 Kylian Mbappé: 10 Goals
🇦🇷 Lionel Messi: 8 Goals
🇳🇴 Erling Haaland: 7 Goals
🏴 Jude Bellingham: 7 Goals
Ikitokea MESSI afanye maajabu leo afunge magoli na achukue Golden Boot…
Basi mm kama shabiki wa Ronaldo na Hater Mkubwa wa MESSI nadiriki kusema apewe tuzo yoyote watakayoitaka- iwe player of the tournament au hata Ballon DOr atastahili na sitakuwa na pingamizi lolote!
Umecheleweshwa, umekatishwa tamaa, umekataliwa, umenyimwa fursa lakini kamwe usiache kuamini na usipoteze Matumaini. Hata katika kipindi cha kusubiri, MUNGU anaendelea kufanya kazi. Kile ambacho MUNGU ameahidi, hakika atakitimiza. Furaha yako iko karibu kuliko unavyofikiri.
Ukiwekeza mtaji wa 10m-20 m kwenye biashara yoyote proper business inachukua miaka miwili to mitatu ku break even na kuanza kula faida Achana na hizi za kutakatisha.