Mahaba kama yote kwa Katuga
halafu anasema yeye ni upande wa Haki
unacheka cheka vipi na mshenzi kama Katuga ?
wakati ajabadilika alikataa kumpa mkono Makonda, ilikuwa yeye makonda na Mbowe
Watanzania, Tumlinde @HecheJohn kwa wivu mkubwa dhidi ya wasaliti na machawa.
Tusikubali Heche akawa demoralized.
Lissu mara kadhaa kamwambia Heche hadharani “peleka moto”. Sasa ni kazi yetu sisi Watanzania kuhakikisha Heche harudi nyuma na wala hakati tamaa.
Nguvu ya umma pekee ndio itakayo wawezesha Heche na Lissu kutushindia hii vita…..
Kama masihara alizeti amekaa siku 500 ngome na kama masihara tena anaweza maliza 4 years ndani, Pipoz wakubali maridhiano atoke harakati ziendelee au wakaze mwamba aishilie ngome
INSECURITY TANZANIA
This young man James Temba from Tabata Dar es Salaam disappeared in suspicious circumstances
His body was discovered headless in a river - and we don’t expect any meaningful investigation!
Police have remained unhelpful while abductions continue under.
#EnforcedDisappearance #Tanzania @SuluhuSamia
Cc @WGEID@volker_turk@UN_HRC
Nimefurahi kupokea Tuzo hii ya ushajaa ya Mwenyekiti wetu Tundu Lissu.
Tuzo hii imetolewa na vijana wa vyuo vikuu Mkoa wa Dar es Salaam, kwa kutambua mchango wa Mwenyekiti katika kupigania, Demokrasia, haki na usawa katika Nchi yetu.
Kwa niaba ya Mwenyekiti ninawashukuru sana .
Kuna hawa WASENGE 13 hawa ni kama wanasubiri KUFA tuu.
Na hawa WASENGE 13 ndio chanzo kikuu cha MAUWAJI ya MO 29. Ndiomaana hawataki uchunguzi huru kutoka NJE.
Hawa WASENGE 13 ni suala la MUDA TUU watalipa yote.
Jana Mtoto wa Rais Museveni yaani Jenerali Muhoozi alisema hajui Iran wanafikiria nini na kama wanadhani wanaweza kulishinda jeshi la Uganda basi hawana akili. Tena akatangaza kuwapa Iran siku 7 waiombe Uganda msamaha. Leo account yake yenye zaidi ya wafuasi 1M haipo mtandaoni.
Kuuguza sio kazi rahisi tuombeane uzima wapwa
Naludi humu ndani nakuta vita tupu kulikoni wapwa mbona nchi tunaidai hii acheni vita tuwe kitu kimoja tudai kipande chetu Cha keki maana inasha wanakula wao kwa wao kizigo badala awe jela anateuliwa hivi uyu mzanzibar anatuonaje