Marafiki wasizidi wanne.
1. Rafiki anayekueleza ukweli wakati unahitaji kuelezwa ukweli.
2. Rafiki anayepigana vita zako, wakati wote na atalia machozi na wewe.
3. Rafiki anayejua siri zako na hazitoi nje. Hauzi ramani vitani.
4. Rafiki anayekupenda wakati ambao unajichukia.