As a member of parliament I have so much passion for developing Iringa town constituency into a decent city. My intention is a peaceful resolution and election process.
NB. I am not campaigning yet
Ebubadirisha kauli ya kutoweza kujisaidia na kusaidia wengine hii makala sio ya kukosa. / please change your attitude help the author and help yourself to this novel. 💯🙏
https://t.co/MYVfdwWxGP
Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aliyetubariki kuifikia na kuikamilisha Ibada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani aendelee kutusimamia na kutufanikisha.
Tusherehekee kwa amani, umoja, upendo na utulivu. Tuendelee kudumu katika ibada na kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kulijaalia Taifa letu umoja, amani na mshikamano; atuepushe na yote yenye nia ya kutugawa na azidi kutujaalia baraka zake.
Eid Mubarak.
KISHINDO CHA MWENEZI MAKALLA MJINI IRINGA
Maelfu ya wananchi mjini Iringa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kuhudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Samora na kuhutubiwa na katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla.
Hello. Ndugu zangu tafadhari kitabu kizuri cha The Internet Guy kinapatikana sasa. Jamani ndugu zangu show some love, link below, ni salama BOFYA LINK UPATE MAKALA SASA 😆✌👀
https://t.co/MYVfdwWxGP
I dreamt was in one of the posh cuisines in Itly, surrounded by tycoons admiring the artworks, some beautiful women sat on canvas. Then driven leisurely on an expensive cart was Jay-Z. I shouted his name but when he looked at me, I said not you Mr. JiggaMan, had mistaken. 😆😃
TAFAKURI YA MIAKA 4 YA UONGOZI WA MHE. RAIS
Ndugu hayati John Magufuli alimtambua rais Samia Suluhu kama kiongozi thabiti. Mnamo tarehe 19 Machi 2021 rais huyu alichukua hatamu na kuwa baraka kwa U.R.T ambapo alitatua malengo ya Magufuli na yale aliyojiwekea ya 'kazi iendelee '
Leo wanafunzi tuko wengi @OUT
HIVI wanafunzi watarajiwa wenzangu
mdahalo;
mwalimu anakupa stahaki zako mwishoni wa maisha, lakini daktari ni hapohapo hachelewi kukupa stahaki akikuelewa.
What is the WHIG PARTY
why is it not as democratic as The Revolution Party.