Official, Confirmed. Account Ya Fbuyobe Ipo Hacked, Anawapa Tahadhari Tu Kwamba Hao Hackers Wanajaribu Kutapeli Watu Kupitia Account Yake Now Kwahiyo Muwe Makini.
Kindly Retweet Please Mwingine Apate Taarifa.
Kaeni mkielewa sasa Rais huyu siyo wakumchezea chezea!.. Huyu ni heavy weight ndani ya CCM kakutana na hiki kilichomkuta sasa nyie ukiojificha Nairobi na ku smuggle hela kuja kufanya vurugu za kihuni za katiba mpya mjitafakari
Tutawataja yaaani!.. na vielelezo tutakabidhi
Unapotumia gear za Juu ndivyo matumizi ya mafuta yanakua mazuri sababu gari inakua nyepesi mzigo unapungua kwenye Engine...
.
Natumaini umejifunza kitu Basi P.S. Usiache Ku RETWEET na Wengine wapate haya MADINI...
.
Kwa Ushauri zaidi karibu Kigamboni kisiwani Tuongee...
.
Asante
Natumaini umejifunza kitu Basi usiache ku RETWEET na wengine wapate haya MADINI...
.
Na Kama hujatufollow basi fanya hivyo sasahivi ili usipitwe na uwe wa kwanza kupata MADINI muhimu Kama haya...
.
Asante
#samatimecarrental#samatimecardealers#GetAsmartCarLikeYou
Jipatie JEANS kwa Tshs. 13,000/= size zote zenye ubora wa GRADE A na pia tunafanya Delivery popote ulipo mikoani tunatuma
Location Bunju B Dar es salaam
Kindly retweet's ๐๐พ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimjulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Januari 2022.
utekelezwaji wake mpaka kuhitimishwa katika makala yangu ya โGeranimo EKIAโ. Hakikisha unaipata makala hiyo na kuisoma.
Kwa andishi hili nitaishia hapa.
Huu ulimwengu wetu umejawa na siri nzito sana.
Until next timeโฆ
Habibu B. Anga
To Infinity and Beyond
0759 181 457