Ila masai community ππ
Tumekuwa tukilelewa na familia ya wafugaji wenye upendo mkubwa kwa mifugo yao (Mbuzi , kondo , Ng'ombe na Punda) , sisi tumekuwa tukijua kitu peke inatufanya tutoe machozi ni mifugo na sio mapenzi ππ, mbuzi akifa nyumbani baba atalia kiume ππ
Makonda bhana πππ
Makonda pekee ndio kanifanya nijue kila ngazi anayopangiwa inakuwa na nguvu,
Makonda kipindi akiwa mkuu wa mkoa dar, alishawai kusema wabunge wote nisiwaone dar nendeni bungeni,
Makonda uyu uyu kipindi akiwa mwenezi wa CCM , πππ