@FKihamu Sema kwenye kufanya matangazo ya kiswahili hapo fundi ni huyo Dogo Upete sijui the rest hamna kitu mnajua kuchambua tu...
Azam TV wannajua kutangaza boli na sahivi wachumbuzi nao motooooo
@FKihamu Sam afanye utafiti kwanza yeye ni mwandishi wa habari, Hiyo Tozo ilikuwa kwa asilimia 9 imeshuka hadi asilimia 4,hapo pongezi kwa bandari na wadau wa bandari wamepitisha hiyo kitu kwa maslahi ya nchi yetu...ile Tozo haiendi kwenye mifuko ya watu, Soon tutakuwa na ports nying bora
@FKihamu PID ni tozo tu kama ilivyo wharfage
Shida ni kwamba watanzania mnahisi DP world kapewa bandari zote hapa Tanzania..
DP world yupo DsM pekeee
So Hiyo PID its for all Tanzanian ports
Itapanua Tanga,Mtwara, kalema,pangani
So upana wa bandari zetu nyingi itaongeza wateja