ya Ufaransa. Katika filamu hiyo, Maskelyne anaonekana akimeza viwembe kumi na mbili.
Lakini mazingaombwe makubwa zaidi ya Maskelyne aliyafanya katika jangwa karibu na jiji la Cairo, Misri, wakati wa Vita vya Pili vya Dunia
mwanamazingaombwe mkuu nchini Uingereza."
Ukweli usemwe,alikuwa na tabia za ajabu – alifanana na mwigizaji wa filamu Errol Flynn (1909-1959),alikuwa na masharubu membamba na macho ya kung’waruza. Na pia alikuwa mwembamba,kama anavyoonekana katika filamu ya 1937 ya Pathé brothers
Katika miaka ya 1930, Jasper Maskelyne (1902-1973) - mchawi maarufu alifanya maonyesho mbele ya hadhira iliyojaa watu katika kumbi za muziki kote Uingereza .
Bango la matangazo la 1931 lililotangaza maonyesho yake katika ukumbi wa London Palladium lilimwita mchawi huyo, "
@Am_stupido Mtoto mshenz sana wew em kuwa na heshima.... Na Hao pia hawajieshim c tunawajua au mpk tuseme ni akina Nan wanapenda kusema ivo... C kwa ubaya ni swali😂
Safari ya uongozi na utumishi inakuhitaji kuwa ngazi ya kuwafikisha wengine katika ndoto zao na sio kuwatumia watu unaowaongoza kama daraja na kuwakanyaga ili ufike juu. Mamlaka zatoka kwa Mungu pekee. Jifunze kunyenyekea na kusamehe ni kwa faida yako binafsi na wanaokuzunguka.
Watu 28 wamekufa katika kimbunga nchini Bangladesh
Idadi ya watu waliokufa kutokana na Kimbunga Sitrang nchini Bangladesh imefikia 28 huku mamilioni ya wengine wakisalia bila umeme. Idadi hii imeongezeka baada wafanyakazi wa uokoaji wa Bangladesh kuipata miili ya wafanyakazi.
Maefu ya watoto wameachwa bila ya makazi huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, eneo ambalo jeshi la taifa linakabiliana na waasi wa M23.