Hii hapa orodha ya vituo vya redio vinavyorusha kipindi cha ONGEA. π
Usipitwe na Uhondo wa tamthilia ya ONGEA!
Kumbuka: Pima VVU, Tumia Kinga, Timiza Malengo Yako.
#ONGEA
Shiriki katika #OngeaTikTokChallenge ushinde vocha ya Tsh. 20,000.
Maelezo zaidi tembelea ukurasa wetu wa TikTok https://t.co/GmqlvKq3mx, tazama video iliyopostiwa.
#ONGEA#OngeaTikTokChallenge
Tunaamini vijana wanajifunza mengi kutoka kwako.
Leo tunakupongeza kwa uthubutu, ujasiri, na jitihada zako katika harakati mbalimbali za kimaendeleo unazofanya.
@CarolNdosi#WCW#WomanCrushWednesday
VVU havitambuliki kwa kuangalia kwa macho.
Njia pekee ya kutambua hali yako au ya mwenza wako ni kwa kupima.
Ni muhimu kuongea na mwenza wako, kabla ya kushiriki tendo la ngono.
#ONGEA
Sio kila mtu mwenye virusi vya HIV unaweza mgundua kwa macho ππΎ.
Ongea na mwenza wako kabla ya tendo mkapime ili kila mtu awe salama kwa mwenzio nakuendelea kulindana.
#UKIMWIUPO
Kila mmoja anatakiwa kushiriki na kuwa mstari wa mbele kuelimisha jamii kuhusu hedhi na kutokomeza udhalilishaji na unyanyapaa kwa wasichana kipindi cha hedhi. #HedhiSiyoSiri
Wazazi na jamii wanatakiwa kuvunja ukimya na kuachana na mila potofu zinazozuia kuzungumza na watoto masuala ya hedhi kuwaepusha na mimba za utotoni. #HedhiSiyoSiri
TUPO KIDIGITALI!
Ili kufahamu mafunzo waliyoyapata vijana wanaoshiriki katika vikundi vya usikilizaji wa vipindi vya ONGEA, kiongozi wa vikundi huoji mshiriki mmoja mmoja kwa kumuuliza maswali ya kupima uelewa kwa kutumia application ya ODK inayopatikana katika simu janja.