Endelea kuona aibu, kijana, endelea kusema, “Watanionaje?” Endelea kufanya vitu vya kuwafurahisha watu, baba Levo, licha ya kuwa na kipaji cha kuimba, alikuja kuwa chawa na ukamlipa Mwijaku. Licha ya kuwa na elimu, lakini akachagua njia nyingine ya ubunifu. Leo anaonyesha majumba
Kwenye kusherehekea miaka 30 ya Bongo Fleva, kuna vichwa vinavyokosekana kama Best Nasso, Belle 9, Bobe Junior na Hussein Machozi. Natamani mtuambie kwa nini, na kwa nini waandishi wa habari hawawaulizi wahusika kuhusu hilo.
Nilichojifunza kwenye sanaa mpema ni kwamba usimpe mwanamke wako ustar wala kumpost mpaka kila mtu amuone. Ni bora umkute tayari ni star, maana hapo hakuna presha sana. Kwakweli nimejifunza mengi kupitia mabradha.
Mwana FA 🙌🙌🙌 anajua sana katika sehemu sijutii kushabikia. Ni huyu mwamba, kuna muda naumia kwanini amekuwa kiongozi, hatupati ngoma mpya. Kak yangu Mwana FA, nakuomba tupate ngoma mpya kabla ya mwaka 👏 Best rapper wa muda wote! 🐐🔥
Wachambuzi Kidege na Bando wametoa ngoma inaitwa “Nimetumwa na Kijiji”. Kama mpaka saa sita usiku hamtoichambua muziki ya mdogo wangu, basi msichambue tena muziki Nawapa masaa 3
Jana nilikuwa naangalia nusu fainali ya Kombe la Dunia kati ya Argentina na England. Nikahama channel, nikakuta mechi kati ya Singida na Mbeya City. Ama kweli, ukila nanasi usinywe maji! 🤣🤣🍍
Mimi ni shabiki wa Ronaldo, ila niseme ukweli… Messi anajua sana mpira. Sana, sana, sana! Nafsi yangu inashindwa hata kuvumilia kukubali, lakini ukweli unabaki kuwa ukweli. 🥹⚽🐐
Kwa sababu natokea Katoro, huyu niliyenaye alipoona ile harusi ya kitajiri ya Katoro akadhani sisi Wakatoro wote tuna hela. Angejua mimi nashindia maji kama ngamia! 🤣🤣😆
Kuna mshangazi mmoja alikuwa ananinunulia bia hapa kwenye sherehe ya miaka 30 ya Bongo Fleva. Nyimbo ya ukimwi ilipopigwa, alilia kama dakika kumi.Nimemtoroka, sitaki ujinga, staki ujinga 😆
@FumboKhan_ Kocha .anakiri sana anacho kifanya nikumpaa skilizi kibu denesi somo la kumwadaa akili kibu nimchezaji mzury anakosa utimamu wa akili ndio maana anamuweka sawa