@OgbeniDemola You're right, but one of the worst thing in Africa is where by people of the same country are fighting themselves,that is why it becomes easy Africans to be foreigner on their continent, take example on what is going on in South African🙌
@SharonMontana20@EsirEid Kwa mimi unga unga mwana nafikiri ni fedha kubwa sister kwa sababu kiuhalisia ni watu wenye dili za kuingiza hizo fedha kitakwimu ni wachache nasi wabangaizaji tupo wengi mno😁😁 ndio maana watu wengi wanasimamia kuwa ni fedha kubwa🤣🤣
@EsirEid Kitu pekee ambacho huwa hakiniumizi kichwa kwenye UISLAMU NA UKRISTO ni kuwa dini zote zinaangazia kutenda matendo mema ambayo ni faida kwa muumini mbele ya Mwenyezi MUNGU 🙏
@LUPITUKOMsigwa@EsirEid Huwa nashangaa sana, ilivyo bahati ukristo na uislamu umejawa na ambayo yanamtaka kila mmoja kutenda mambo mema yampendezayo Mwenyezi MUNGU.