@citizentvkenya Iyo ata,tulipe ushuru tukitoa wapi pesa na kila kitu kiko juu na pia kazi hakuna...wanasema tujiajiri na wao sisi ndio tuliwaajiri...uzuri wembe ni ule ule tu
@WilliamsRuto Wakenya tutabaki kuwa wakenya uwe wa baba au Ruto sote tutaongozwa na yule mshindi...hatutahama Kenya sababu fulani ameanguka..tuishi na umoja
@itsHeinry@Kenyans It's good to talk about the past before talking about future which you don't know whether it will succeed or not...if he fail to do it in the past how sure are you he will do it in the future...sungura hatawai kuwa ndovu