@KeKirwa Unaweka home delivery alafu address inasoma Sibanga ndugu yangu. Si ata wewe unaona hio ni area ingine interior Sana.
Jaribu pickup station. You can always choose Kebian Pick Up station hapo kitale town. The fees will be reasonable
@ignyharaz2 Encourage students to also apply for attachments through NITA. They can be linked to really nice organisations and projects
https://t.co/GFzYB4wlKE
Pale 2021 niliamua kuanzisha my own small business ya kunikeep ka comrade na juu bangi ndo comrades wanatumia University sana. Niliendea kilo tatu huko ushago juu bangi huko it's very cheap nikakuja kufunga rolls nikiuza. Shida ilitokea tu time nilianza kukaribisha every new customer to my business na moja ndo asikizie mali na ikimbamba anunue zake. Hapo comrades wangekuwa wanamwagika kumwagika na nikiwachoma tu hivi badala ya kununua msee anasema wacha afike kejani zishuke atarudi kununua na that would be the last day ya kumuona.
Walai hii kitu inaitangwa customer promotions is just a scam usiijaribu kwa biashara yako.
@alexmwanzo Huku nyumba wanasema sio story na complexity. Wanashindwa mbona millions zipitie Kwa account yako na bado uishi kama mlalahoi. Ati commission ni ya watu hawana njaa