"Jesus, name above all names
Beautiful Saviour, Glorious Lord
Emmanuel, God is with us
Blessed Redeemer, Living Word"
#ProphetEvisMbonye
The nations are now tuned in to the Power of Prophecy with Prophet Elvis Mbonye on NTV Kenya.
@SimbaSCTanzania Tuna litambuwa hilo
Ila mwambieni @Hajismanara asiwe anaongeya sana pia kudharau club kubwa kama @Tpmazembe.......Vive tpmazembe@vivesimba.
Twenzetu Lubumbashi tukaishangilie timu yetu itakapokuwa inacheza mchezo wa marudiano wa #CAFCL dhidi TP Mazembe ambao utachezwa Jumamosi. Gharama za usafiri kwenda na kurudi;
Ndege - Dola 500
Basi - Tsh. 200,000
Visa - Dola 50
Wasiliana nasi sasa kwa namba +255 745 346 687.
Oya Oya brother Bitakwira achana namambo yakujigamba wakati hakuna hata kitu kimoja uliwafanyiyaka watu walio kuchaguwaka toka 2006;;;;;; Leo ndio unalumbuka eti utaleta maendeleo yakunyorosha barabara??? Acha wengini wakule ulipo achiya.
Super Star wa ukwee!!
My brother from another mother!!
Nakukubali sana kaka na ww unajua,naipenda heshma yako kwa watu na siku moja Mungu akinijaalia ntaandika kuhusu ww
Uishi miaka mingi bro na furahia siku yako ya kuzaliwa
Happy birthday 🎁
@MwanaFA 🎂
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano na Mwanasimba mwenzetu, Mhe. January Makamba atakuwa mgeni rasmi wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao tutacheza na AS Vita Club. #DoOrDie#NguvuMoja