Kuna mtu anaona kama yeye ni immortal, anataka heshima ya lazima, hataki criticism, ni muongo, mporaji, mfisadi na anadhani pesa zitamsaidia kuishi milele, hajui kama Mansa Musa, King Solomon ama hata Chris Kirubi hawakuenda na chochote mchangani. *Kila kitu kina mwisho*
"Tulisikia Harufu Ndo Tukabranch Tukapata Mwili" Form 2 Girl Who Varnished On Her Way To School Discovered Dead In Forest https://t.co/YB63LS5m4b (From Phoenix APP)