Kutekeleza Malengo ya Uwajibikaji wa Ujumuishaji wa Vijana (asilimia 20%) na WWU (asilimia 5%) katika Bodi zote za Umma na Binafsi
Ujumuishaji lazima uhamie kutoka kuwa ndoto hadi kuwa wajibu wa kisheria ~ #agendayavijana2025#YouthManifesto2025
Kizazi kipya cha Tanzania kina uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa, lakini kinahitaji nafasi, mwamko wa kijamii, na uongozi wa kweli. Ushiriki wa vijana katika siasa ni muhimu ili kuhakikisha mustakabali wa nchi unakuwa bora na unaowakilisha wote. Hii ndiyo changamoto na fursa kwa kizazi chetu!
#YouthManifesto2025 #AgendaYaVijana2025
Sasa ni wakati wa kutekeleza Sera ya Baraza la Taifa la Vijana ya 2015 Tunataka serikali iweke miundo na ufadhili thabiti kuanzia vijijini hadi kitaifa.
#YouthManifesto2025#AgendaYaVijana2025
LEO NI SIKU YA UZINDUZI..!
📍 Youth Manifesto / Ilani ya Vijana Tanzania 2025
📅 Makumbusho ya Taifa
Vijana wote 👉 Hii ni nafasi yetu ya kusikika, kuamua na kushiriki kujenga Tanzania bora!
Usikose kuwa sehemu ya historia.
#YouthManifesto2025#AgendaYaVijana2025
Tanzania is a young nation, with over 74% of its population under the age of 35. Yet youth continue to face significant barriers in education, employment, leadership, healthcare, and access to justice. This Manifesto is both a roadmap and a call to action, #AgendaYaVijana2025
Honoured to be Guest of Honour at CASFETA TAYOMI NIT’s 12th Graduation
My message to graduates: Become the answer to challenges in your lives, families, & communities. Tanzania needs youth who lead with purpose & faith!
#BeTheAnswer#CASFETA#YouthLeadership
In Oct 2024, I had the privilege to train lecturers at the National Tourism College on delivering @SBL Learning for Life program. In May, I witnessed 100+ youth graduate empowered with tourism skills and supported by the Ministry of Tourism. #SkillsForLife#YouthEmpowerment
Yapo mambo ya kulaumu wengine na yapo mambo yakuchukua wajibu.
Ukiwaza saana utendaji mbovu wa baadhi ya mashirika ya umma kwa mfano fikiria kama kuanzia mfagiaji mpaka Mkurugenzi kila mmoja angechukua jukumu lake ipasavyo.
Familia zetu na hata kwenye mitaa
#accountability
Our leaders are not born corrupt - there are corrupted by the very society that nurtures them through our silence, tolerance, and at times complicity, who shapes and corrupt them.
@AD_Abinallah@BarakaMasubo@mBongo@ItsKamala