marafiki wengi ambao tupo nao leo wanaweza wasiwepo kesho, lakini kila wakati kutakuwa na mmoja ambayo atakuwa zaidi ya familia kwako. Urafiki unajaribiwa kwa uwezo wa kusimama kwa kila mmoja kwa kile kipindi unamhitaji zaidi yaani wakati wa shida
Imefika hatua sasa hakuna yeyote anaeamini kuwa Mwanaume anaweza kuwa na Mwanamke mmoja kwenye mahusiano na akatulia..
Upotoshaji mkubwa na mbaya sana huu..
🏆 Referee announced for 2026 #SuperCup!
We're pleased to share that Somali referee Omar Artan will officiate the highly anticipated match between PSG and Aston Villa in Salzburg.
Juni 08 kila mwaka ni siku ya Kuthamini rafiki yako wa karibu ambayo mnaongea mambo mengi ya siri bila mtu mwingine kujua.
Kila mtu ana rafiki yake wa karibu, leo ni siku ya kuthamini urafiki wenu.