Happy Birthday Mh. Rais.
Mungu wa Yakobo na Isaka akupe maisha marefu sana na akutazame kwa uso wake wa huruma! Akupe busara kama mfalme Suleimani na akupe ukuu na mamlaka katikati ya watu kama Yusufu..
Sisi hatuambiwi kitu yaani kazi iendelee na tukutane 2025 ๐๐ฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๐ฝ