Oyaaaaa @OfficialAliKiba hii songi songi🔥🔥🔥 inafanya nisahau kama kuna tozoo hii ngoma unaeza lipia tozo za miaka mitatu na pia inaweza mrudisha messi barcelona king huu mwaka utawatoa damuuuuu
Sadala nisikilize ,kati ya hao watu ambao wewe unajidanganya kuwa Ni wenzako , na kudanganya watu wenye ufupi wa akili .hakuna hata mmoja ametanga ana hela akaandikwa FB. haina haja yakulalamika sisi ukituambia kama unahela tunaamini inatosha ila wale wana akili ndefu (mediocre)