Imegine wanaume kwa wanaume Wanabishania hela za wanaume wenzao Daaah kummmke Taifa letu lishaangamia ngojeni tumuachie mambaz24 pengne atalikomboa taifa ππ
VIJANA NAWAKUMBUSHAπ
Ukiwa unatunza 20k kila siku kwa mwaka ni Milion 7.3
.Yaani kwa siku unatafta 2,000 then unaingia betpawa unatafta odds 10 tu unastake then unakaa zako kiturist kusubir mshahara wako uingie kwenye account π
Hii ni njia rahis mnooo kupata 20k Pd π
Anguko la kijana linaanza pale anapokitumia kipindi cha kujitafta kutoa misaada na kuwa tegemez kwa ndugu jamaa & marafik π
π£οΈ fanikiwa kwanza kipindi cha kujitafta sio cha kutoa misaada na kuwa tegemez kwa ndugu,jamaa & marafik π
Vijana wengi tunafeli coz kipindi Cha kujitafuta sio cha kutoa misaada iwe kwa ndugu jamaa na marafiki fanikiwa kwanza usiwe tegemezi mda wa kujitafuta π
π£οΈ hao hao unaowasaidia kila siku, kila muda ipo siku ukirud nyumban watakuuliza umerud na nini ?? π