Tarehe kama ya leo mwaka 2019 tulicheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya klabu ya Sevilla ya nchini Hispania.
Haya hapa magoli manne tuliyofunga kwenye mchezo huo. #NguvuMoja
#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍