Nishawahi kuplan kutoroka JKT mwaka 2015 Nikafanikiwa, katika Kambi ya MGAMBO JKT Tanga handeni MAENEO YA KABUKU,
Na Nikarudi Tena Kambini Mimi Mwenyewe. Whta a great Mission,
Ila Kwenye Hii Maisha Sasa Kila Ninacho Plan Kinafeli Sijui Shida Nigani?
Kuna kitu kinaitwa "LIFELONG LEARNING" hiki kitu sikielewi yaani sikishadadii labda lifelong learning ya ujuzi wa biashara Sio hii ya curriculum ya Tanzania.
Kuna waziri Mmoja nimeona Status Ya Elimu yake ana "Online Bachelor degree" kwa lugha nyingine kasoma Open university. Kiufupi kaungaunga.
Opp!! Afu waziri wa .....
😂😂😂
29/11/2025 simu yangu ikawa haishiki mtandao, Fundi akanambia nimpe 50k then nifate Jioni. Nikampa narudi jioni nakuta kaiwekea fail la VPN akanifundisha naman ya kulitumia, akasema baada ya mda nitakuwa naingia bila faili
kumbe mtandao ulikuwa umefungwa ila mafundi.
Kizazi kijacho Ajira serikalini ,au kuingia kwenye siasi itakuwa sio rahisi , naangalia namna nzuri ya kumlea mwanagu ili aje aweze kuishi Vyema nashindwa.
Elimu pekee naona haitoshi what can I do?
Kama Wewe Ni Classmate Wangu Na Ulisoma Sheria, Nikiulizwa Una Mwanasheria, SI Wezi Kataa Nitakubari Ndio, Ole Wako Unitupe Sasa.
Nataka Kufanya Tukio Hapa Jiandaeni wanasheria Wangu
"Selected For Oral 'nterview" Pdf Zinatoka Mbona Mpo Kimya ? Mlituona Mazwazwa Hadi Calling Zetu Mlikuwa Hampokei Haya Mnaenda Wilaya Gani?
Time Will Tell labda SI Tz hihi.
Mama Yasmin Nimemwambia Kuwa Yasmin Atasoma Mwisho Secondary Et Umezuka Ugomvi.
Yaani Mimi degree Yangu Sijaifaidi Mwanangu Ataifaidi? Hapa Certificate Inamhusu Mengine Itajiendeleza Yeye .
Utumishe, Lile paper Langu la Aptitude Test Biology Naliomba, Haiwezekani Nipate 64% Mimi, Mwanasheria Wangu Analifanyia kazi Hilo, Kama Nilipa 84% Mkatoa 20% Bila kunijulisha Tukutane Mahakamani..... Why This ? . Am siliazi.
Nimeanza kuamini kidogo kidogo, kuwa miaka ijayo wasomi wasio na Ajira watakuja kuwa genge kubwa vibaya mno, na linaweza kuwa na chama Cha siasa chenye nguvu,
Imagine NETO tu Imetekenya mhimili wa serikali , ni swala la mda tu.🙏