Hapa Dar es salaam Mambo ni MAWILI tu,Ulipe Kodi Kubwa Nauli Ndogo Au Ulipe Nauli Kubwa Kodi Ndogo
.
Kingine Ulipe Kodi Kubwa Ili Uwahi Kulala Au Ulipe Kodi Ndogo Uwahi Kuamka Saa 10 Alfajri ๐๐
DEAL DONE MGUNDA IS RED ๐ด
Ismail Mgunda amejiunga na timu ya Simba SC akitokea Mashujaa FC, Ismail Mgunda ni mbadala wa Selemani Mwalimu.
Ismail Mgunda tayari yupo safarini kujiunga na Kikosi cha Simba SC.
.
Ahmed Arajiga ndiye Mwamuzi wa Kati wa Kariakoo Derby ya Ngao ya Jamii kesho kati ya Yanga na Simba visiwani Zanzibar!
.
โA1: MOHAMED MKONO - TANGA
โA2: LEONARD MKUMBO - MANYARA
โRR: NASSIR SIYAH - ZANZIBAR
โMC: HAMIS KITILA - SINGIDA
โRA: SOUD ABDI - ARUSHA
.
๐จ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
CS Sfaxien ๐น๐ณ imemvunjia mkataba winga, Willy Essomba Onana (26) ๐จ๐ฒ baada ya kudumu kwa msimu mmoja.
Mkataba wa Onana na Sfaxien ulikuwa unamalizika 2028.
.
Konyaspor ๐น๐ท wameongeza dau lao kwa ajili ya Emam Ashour ๐ช๐ฌ๐ hadi kufikia Shilingi bilioni 11.05 (dola milioni 4.25), huku klabu hiyo ya Uturuki ikipambana kumsajili kiungo huyo wa Al Ahly โฝ๏ธ๐
.
MOHAMED OUATTARA ATUA RAYON
๐จ๐ฎ Beki wa kati wa Ivory Coast aliyewahi kuchezea Wydad Casablanca, Simba SC, Al Hilal na Al Ain, sasa ni MCHEZAJI RASMI WA RAYON SPORTS!
.
Klabu ya Trabzonspor Mpaka sasa wameuza tiketi 18,000 za msimu 2026-27, kwa siku 3 tangu wamsajili Mohamed Salah.
Na kama watafikisha tiketi 25,000, Basi gharama zote za usajili wake zitakuwa Zimerudi.
Ikiwa zimesalia tiketi 7,000 tu!
.
๐จ TAARIFA: Kamati Kuu ya Uendeshaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu la Afrika Kusini (SAFA) imeridhia uteuzi wa Pitso Mosimane kuwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya nchi hiyo, Bafana Bafana.
.
Mechi za Ligi Kuu Tanzania zilizoshuhudia HAT-TRICK 2 kwenye Mechi Moja.
1. โSimba 8-1 Coastal Union (2019)
โก๏ธ Emmanuel Okwi
โก๏ธ Meddie Kagere
โ 2. Simba 7-1 TZ Prisons (2022)
โก๏ธ John Bocco
โก๏ธ Saido Ntibazonkiza
3. โAzam FC 6-3 KMC FC (2024)
โก๏ธ Feisal Salum
โก๏ธ Wazir Junior
.
Wanetu ๐ช๐ฌ Al Ahly kule shirikisho watakutana na mshindi kati ya Kitara fc ๐บ๐ฌ na Mogadishu CC ๐ธ๐ด
โMambo ya kukimbilia shirikisho unakutana na Ahly ๐ Maisha hayako Fair kabisa
.
DROO YA CAF CHAMPIONS LEAGUE
Yanga Sc ๐น๐ฟ ๐ Gaborone Utd ๐ง๐ผ
Simba Sc ๐น๐ฟ ๐ Mighty Wanderers ๐ฒ๐ผ
โ Simba na Yanga zote zimeanzia hatua ya awali
.
Siku ya leo, Alhamisi Agosti 06, inafanyika droo ya mechi za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup).
โTanzania inawakilishwa na timu nne ambazo ni Simba SC, Yanga SC, Azam FC na Singida BS.
.
Klabu ya Yanga wataanzia safari yao ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF CL) msimu wa 2026/27 katika mzunguko wa kwanza wa hatua ya awali.
Mabingwa hao wa Tanzania hawajapata fursa ya kuruka hatua hiyo,hivyo wataanza kampeni yao ya kimataifa mapema kabisa.
.
โถKabla ya kurejea Jijini DSM, kikosi cha Simba Sc ๐น๐ฟ kitacheza mechi moja ya kirafiki dhidi ya El Merriekh.
โถMechi itapigwa kesho Jumanne Agosti 4 pale pale Rwanda ๐ท๐ผ
.
Mnyama anaendelea Kujiweka Sawa ๐ฅ
Tanzanite International Tournament (PRE-SEASON) 2026 haitafanyika Babati kama ilivyopangwa
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara imeizuia Fountain Gate kuutumia uwanja wa Tanzanite Kwaraa
Timu shiriki zimeamua kujitoa kwenye mashindano baada ya waandaji kupendekeza uwanja mwingine
โKuna mambo yanafanyika wanasimba hawajui huko nyuma kuna watu walishatengeneza document kusema Simba imeuzwa, document zipo kuna wakati utafika tutawasemaโ
โMurtaza Mangungu M/kiti wa Simba Sc
.
MATOKEO YA UCHAGUZI - YANGA ๐น๐ฟ
Rais: Eng Hersi Said
M/Rais: Arafat Haji
Wajumbe wa Kamati ya Utendaji
1. Alex Francis Ngai
2. Yanga Evarist Makaga
3. Fahd Ahmed Afif
4. Munir Said Seleman
5. Julius John Koyi
.