😂 Mbona si rahisi upatane na trader amegive up... Hata kama ameuma losses hatari ajabu bado kimotho anajaribu tu..Halafu kanaanza kuwa mpole, hana mambo mingi Anakuwa wa deep thoughts.Anaingia 9 to 5 kidogo anafund account anarudi tena market..ikimtenda bado anajaribu tena. Why?