The lesson I learned in 2021..
Don't plan your future plans with someone.. because when he/she leaves you in your life.. then all plans you have planned will be eliminated
KITU AMBACHO SIWEZ NI KUSHANGILIA ANGUKO LA MTU AMBAE NI MPAMBANAJI...
ME NI SHABIKI WA MESSI ILA CR7 HE IS STILL CHAMPION π π¦
βοΈ @ogmunx__
#hiphop
Ukiwa huna kichwa kama kubuyu utahisi mashabiki wa dzstv n walevi na wavuta bangi.. ila usichokijua ni watu smart sana.. alaf walevi na wavutabangi wanashabikia kila kitu ndio maana wasanii wenu wanasifia pombe na ngono while dzstvn anakemea pombe na ngono zembe
βοΈ@ogmunx__
@zoetjesheeftX Me nafikiri kwa mtazamo wangu hizo sababu hazitoshi kumjaji mtu kama ni bora au sio bora nafikiri kila mtu ni bora au si bora kwa mtu fulani..
@IsmailJussa@Wakazi Me nafikiri kabla ya kufika huku tunahitaj kutoa elimu zaidi.. juu ya uzalendo.. pia watanzania wengi bado wanafikra finyu na potofu haswa hawa waliopewa usukani.. so mtanzania mwelevu mmoja hatoshi kubadili system ila kama darasa la uzalendo litaanzia primary school pengine
CCM wanataka Watanzania waisahau hiyo picha ya kwanza na wapigie makofi picha ya pili.
CCM wanajaribu kum-rebrand Samia kwa matukio feki ya kijamii.
Watanzania watawaonyesha wauwaji kuwa wao ni ma high IQ na watadai haki mpaka washinde. Hakuna kurudi nyuma mpaka tupate haki na wauwaji wawe held accountable.