#VIDEO Maandamano nchini India yamechukua sura mpya baada ya mmoja wa waandamanaji kulipanda gari la polisi la maji ya kuwasha na kuligeuzia maafisa wa usalama wakati wa jitihada za kutawanya umati.
Maandamano hayo yalichochewa na malalamiko kuhusu uvujaji wa mitihani ya kuingia vyuo vikuu (NEET), mfumo wa elimu pamoja na madai ya ukandamizaji wa viongozi wa upinzani na wanafunzi.
Waandamanaji wanataka mageuzi katika sekta ya elimu na kujiuzulu kwa Waziri wa Elimu wa Muungano, Dharmendra Pradhan, huku polisi wakiendelea kutumia nguvu kudhibiti maandamano hayo.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
WTS
๐-๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ : {๐๐๐๐๐#๐} ๐ข๐ง ๐๐๐๐๐๐๐ ๐น๐ญ
๐๏ธ29 August 2026
๐ Thunder Dome
Available Tickets
๐ซ VIP Zone
๐ซ Zone 5,800
๐ซ Zone 4800
โ Adjacent seats
๐ฅDm now to inquire
Foreigners dm ok
#UKNOW_PROJECT26#UKNOW_CONCERT_TOUR