Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
RAIS SAMIA AZINDUA MAKAO MAKUU YA ULINZI NA USALAMA DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema ukuaji wa uchumi unahitaji kuambatana na uwekezaji thabiti katika sekta ya ulinzi kwa ajili ya mustakabali wa maendeleo na ustawi wa wananchi.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza Menejimenti ya Soko, TAMISEMI, na Jiji la Dar es Salaam kukutana na wafanyabiashara ili kupitia upya tozo na ada za pango, na kuja na mapendekezo yatakayolinda pande zote bila kuwaumiza wafanyabiashara.
Tanzania na Uganda zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa biashara na miundombinu, ikiwemo matumizi ya bandari za Tanzania, upanuzi wa reli ya SGR hadi Lusahunga na mpango wa reli Tanga–Musoma ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo na kukuza uchumi wa Afrika Mashariki.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipompokea Mgeni wake, Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili Viwanja vya Ikulu ya Dar es salaam kwa ziara ya siku Moja leo February 07,2026.
Rais Samia Suluhu amehudhuria uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS) Dubai na kuwahakikishia wawekezaji uaminifu, uthabiti wa sera, na fursa endelevu.
Tanzania imewekeza kimkakati: nishati, reli, bandari, Maeneo Maalum ya Uwekezaji na Dirisha Moja la Uwekezaji.
Rais @SamiaSuluhuHS ameshiriki mikutano ya pembezoni mwa #WGS2026 Dubai, akikutana na viongozi kutoka Botswana, Kosovo, Angola, Ethiopia, Chad na UAE. Mazungumzo yamelenga kuimarisha diplomasia, ushirikiano wa kiuchumi, amani na maendeleo endelevu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan aliposhiriki Sherehe za Mwaka Mpya na Mabalozi pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa (Diplomatic Sherry Party), hafla iliofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo January 15, 2026.
🚨 BREAKING NEWS!
Mwenyekiti wa JUMIKITA, Shaban Omary Matwebe, amempongeza Waziri wa Habari Paul Makonda kwa kupigania vijana wa mitandao.
Na sasa…
Wito umetolewa:
👉 Instagram na TikTok zianze kuwalipa Watanzania!
Je, huu ni mwanzo wa mapinduzi ya kipato cha kidijitali?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mh. George Simbachawene (Mb) kama Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na nafasi yake inachukuliwa na Mh. Patrobas Katambi (Mb).
MATWEBE ATAKA MAKUNDI YA BODABODA, WAMACHINGA NA MAMA LISHE YAWEZESHWE KIUCHUMI.
Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Shaban Matwebe amesema makundi haya ni mhimili wa uchumi wa wananchi wa kipato cha chini na yanahitaji mifuko maalum ya maendeleo.
DKT. MWIGULU AKAGUA MIRADI YA MAJI RUVU
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekagua hali ya uzalishaji na usambazaji wa maji Ruvu Chini, mkoani Pwani, Desemba 29, 2025. Amesema miradi ya kukabiliana na upungufu wa maji imeanza kutekelezwa kwa miaka 3 iliyopita. #Maji#Serikali
Waimbaji wa nyimbo za Injili wathibitisha imani yao kwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kupitia wimbo “Tuna Imani na Wewe”, wakionesha mshikamano, uzalendo na dhamira ya kuijenga Tanzania yenye umoja na maendeleo 🇹🇿
#UmojaNiNguvu#AmaniNaMaendeleo#TanzaniaYetU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na Balozi wa Kenya anayemaliza muda wake, Mhe. Isaac Njenga, Ikulu Dar es Salaam, kujadili kuimarisha uhusiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Kenya.
#Tanzania#Kenya#Uwekezaji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Mkutano wa 9 wa CDF na Makamanda uliofanyika SKUA, Tanga, tarehe 15 Desemba 2025.
#CDF#JWTZ#SKUA#Tanga#UsalamaWaTaifa#SamiaSuluhu
UN YAITAMBUA TANZANIA KAMA KIELELEZO CHA AMANI LICHA YA VURUGU ZA UCHAGUZI.
Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres amesema Tanzania imeendelea kuwa rejea ya mshikamano wa kijamii duniani, hata baada ya changamoto za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
#Amani#Umoja#Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Slovakia hapa nchini Mhe. Ivan Lancaric, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Desemba 2025.
RAIS SAMIA AWASAMEHE WAFUNGWA 1,036.
Msamaha huu wa Disemba 9 unaendelea kuwa utamaduni wa kila mwaka. Wafungwa 22 waachiwa huru, 1,014 wapunguziwa adhabu. Serikali yatoa wito wajikite kwenye maisha mapya na kuchangia maendeleo.
USHAHIDI MPYA WA MIPANGO YA MACHAFUKO.
Dkt. Mtengecha: “Niliambiwa niende Nairobi kwa mafunzo ya kijeshi ili kuharibu amani.” Asema Mange na CHADEMA walipanga kuchoma moto nchi.
@meta@swedenintz#AmericanEmbassyTanzania