Siku mbaya kazini , Ningumu kuelewa ila uzembe unachangia kwa upande wang, najua siwez kuwa sawa siku zote ila nitarudi kujiweka sawa ili kupunguza makosa yangu ......niombe radhi kwa wachezaji, mashabik na viongozi wa Tiger Fc 🙏🙏⚽⚽#wewintogetherwelossegather✍️
nimeshare na wew story hii kwani ilinifundisha vitu vingi sana, but tukio la chasambi limenifanya kuandika haya kwa amefanya kila kitu ili timu ipate matokea lakn bahati haikuwa kwake, mashabiki wameumia lakn washangiliaji wameonesha kukata taamaa juu yake. samehe it is ⚽⚽🙏🙏
nakumbuka ilikuwa mwaka 2021 nilifunga goli gumu sana na goli mhimu kwa timu yangu RICOBED ilikuwa katikati ya uwanja na ulikua mpira wa faulo, nilisifiwa sana na kushangiliwa sana na mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kwani hilo goli lilitupeleka nusu fainally ya mashindano hayo.
hapa ilikuwa ni mwanzo wa mashabiki kusahau uwezo wangu kwani walionanimechangia wao kukosa nafasi ya kucheza fainal, niliumia sana kukosa nafasi ya kucheza mashindano hayo mpaka mwisho, haikuwa rahisi ila nilijifunza kitu kuwa mashabiki ni wachache na washangiliaji ni weng kwang
sweke wa gereza la mahabasu rungwe aliniletea mpira ule ili nikapige ule mkwaju wa penat hiyo ilikuwa kama zari kwangu kwani sikutegemea kama itakuwa hivyo sikuweza kukataa order na niliachukua mpira na kwenda kupigiga hiyo penat kwa bahati mbaya niliweza kukosa, na hapa ........
Baada ya kuzawadiwa penati hiyo wachezaji wote tulioneshwa kutokuitaka, binafsi nilienda eneo la mbali na box pernat ili nishuhudie mpigaji wa tuta hilo nikiwa sina hili wala lile nilisikia mashabiki wakisema apewe omary hiyo penati,kwa nidhamu ya hali ya juu ni Cpl wa magereza..
baada ya matokeo hayo tulifanikiwa kutinga nusu fainal ya mashindano na tulipangiwa na timu ambayo ilikuwa ni kama dab kwetu ilikuwa ni RICOBED vs FDC timu ya chuo cha veta katumba mkoa wa rungwe , mchezo ulikuwa ni wakasi na wakavutia ilikua ni daki 20 tukazawadiwa penati......
@Tanfootball si kwa unabaya wengne tushazoea kujitole kwa ajili ya taifa na kwa ajili ya wanao tufwata nyuma hii ajira nimejatibu kuomba sehemu ya attach resume inafeli kwa anaye jua msaada please 🙏🙏