22. Tiini ujumbe wa Mungu! Msijidanganye kwa kuusikiliza tu. 23 Kama mkisikia ujumbe na msiutii, mtakuwa kama watu wanaojiangalia kwenye kioo, 24 na kusahau jinsi wanavyoonekana. 25 Mungu atawabariki katika kila mnalofanya, mkisikiliza na kutii, na msisikie tu na kusahau.
Unafanya kazi siku 365 za mwaka then unalipwa mara 12 tu. Maana yake ukizitoa hizo siku unazolipwa kuna siku 353 unazofanya kazi bure bila kulipwa chochote๐ข
#SIKIA
Hakikisha unampiga sana mwanao siku ambayo utamuona ana mrushia mawe mbwa anayejitafutia riziki yake jalalani, maana huo NDIO MWANZO WA ROHO MBAYA
Jambo lakushangaza hata huyo Mbwa akiondoka jalalani na kuacha kile chakula hawezi kukila yeye.
Tujitahidi kuzichuja sana fursa zinazokuja mbele yetu wakati tukiwa na shida nyingi..
Kuna muda ulichokiona fursa kinaweza kugeuka anguko lako.Sio kila fursa inakuja kwako ni fursa, tuombe Mungu atupe uwezo wa kufanya maamuzi sahihiโฆ๐๐๐๐
Kuna wakati MUNGU anakutafuta ili muongee, lakini unamkwepa kwa kusema uko busy na kazi.
Lakini akiona KUSUDI lake halifuatwi, atatafuta njia ya wewe Kula GHARAMA. Mungu akiwa na kazi na wewe atatumia njia usiyoipenda.
Hata YONA alijikuta ndani ya tumbo la samaki bila kupenda.