Leo ni 29/5 hii ni siku ya MAOMBOLEZO ya kitaifa.
Weka hapa picha na video za MAUWAJI waliyofanya WAKOLONI WEUSI #MO29 kwa ndugu zetu.
#Hatutasahau#MO29
REPOST.
#BreakingNews
Kesi ya Mgawanyo wa mali za CHADEMA imefutwa leo naona Said Issa na waliomtuma wameweka mpira kwapani.
Na bado hata kesi ya Mhe. Lissu watafuta tu
Kumbe VISA mnataka.😁
REPOST 200
Mjini Yutubu,
Kuna huyu mwamba kutoka Brasil ambae amenunua Rights za kuonyesha Kombe la Dunia kwenye channel yake ya Yutubu.
Na atakuwa analionyesha free. Kupitia channel yake ya CASA TV
Mwamba anaamini kuwa watu eana haki ya kuangalia mechi hii free.
Sonko alimsaidia Faye kuwa Rais wa Senegal, Kisha Faye akamteua Sonko kuwa Waziri mkuu. Sasa hivi hawaelewani, tena Faye ametengua uteuzi wa Sonko kama Waziri mkuu. Jana Spika wa Bunge la Senegal amejiuzulu na Leo Sonko amechaguliwa na wabunge kuwa Spika. Hapa moto lazima uwake.
Dunia na maajabu yake janja ameanzisha nchi yake inaitwa Verdis na ndio Rais ana miaka 21 ofisi zake za serikali yake zinahitaji wafanyakazi , twendeni huku kuna ajira vijana.