It's good to see the great work you are doing in Africa and what you did in #Somaliland congratulations @OnaStories@JamaMusse let the good work continue https://t.co/ywtwKftAdV
Young Africans must begin staking their claim on the storylines surrounding "Africa." What digital tools can they use to do this? ☀️⏯ Watch Princely explore this at the Kwanza Africa Summit:
https://t.co/qsSs3b6f60 #EAMLab2017
Meet Rakesh Rajani. Rakesh holds a master’s degree in theological studies from Harvard University & earned his bachelor’s degree in philosophy & English from Brandeis University. He has established & led many key social initiatives in the evolution of education in Tanzania and EA
Digital storytelling workshop by @OnaStories at Hargeysa Cultural Center @HargeysaCC, Saturday, Dec 2 from 9 AM to 12 PM. Register very soon if you are interested! #Onastories
#ElimikaWikiendi | Tuseme tena, maendeleo na ushirikiano wa bara letu yatakuja kwa kupanua ufahamu wetu kuhusu wana wenzetu wa #Afrika. Kama ungependa kujua zaidi kuhusu #Somaliland, tumekuandalia @Medium series unayoweza kuzama kwa undani zaidi. Bofya -> https://t.co/YImchJK6cJ
#ElimikaWikiendi | Asante kwa kuwa nasi pamoja na kasi ya intaneti leo #Somaliland. Tumeambiwa mitandao ya jamii itarudi hewani baadaye leo, na kasi kurudi kawaida (4G). Kujua zaidi na kuona live videos, fuata pia @OnaStories Instagram, Facebook, Medium na YouTube #OnaSomaliland
#ElimikaWikiendi Wasomali wana mchezo wa kihistoria uitwao #Shax. Siku hizi huchezwa zaidi na wazee + wachunga ngamia. Ni zaidi ya mchezo. Umetumika kuanza na kumaliza vita, katika ndoa na katika tunzi mbalimbali za shairi. Nimekuja #OnaSomaliland kujifunza historia ya Shax.
#Somaliland ndiyo sehemu ya kwanza ULIMWENGUNI kote kutumia teknolojia ya #IrisScanning (kusoma mboni ya jicho) katika kusajili wapiga kura na kuhakiki upigaji wenyewe. #ElimikaWikiendi#OnaSomaliland https://t.co/igJkerMiuU