Tweet 1:
Habari #Tanzania! 🇹🇿 AI siyo habari ya mbeleni tena—iko hapa na inabadilisha biashara yako kuanzia Kariakoo hadi X , Instagram ,TikTok na WhatsApp. 🚀
Kama una duka la e-commerce, soma hii. 👇
Hizi hapa ni njia 5 muhimu ambazo AI inaweza kuinua biashara yako leo
👇
Wateja wangu wa korosho na smoothies kwanzia jtatu zitapatikana kama kawaida tunapatikana mwananyamala opposite na msisiri b primary school
Kwasasa tuna roasted cashews pekee
1kg 24,000
Smoothie 10,000
Tupigie 0745742108
Cc @salmakorosho
Jumapili ni siku ya Baraka.
Kwanini usichukua Uwapendao na mkafika @aeso_kitchen mkafurahi kwa pamoja mkiwa mnakula chakula kitamu
Piga sasa
0767607887
Unaweza kupotea kwenye ramani ukiwa na miaka 25
Ukajitambua ukiwa na miaka 35.
Ukajitafuta ukiwa na miaka 37.
Ukafanikiwa ukiwa na miaka 40.
Hakuna muda sahihi wa mtu kufanikiwa.
Kila mtu hujaaliwa kulingana na nyakati, bidii na kudra za Mwenyezi Mungu.