Rais wa FIFA, Gianni Infantino akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi, @salim_tryagain baada ya kushiriki moja ya vipindi vinavyoendelea kwenye kozi ya Diploma katika Uongozi wa Klabu inayotolewa na FIFA (Diploma in Club Management) inayofanyika mjini Tangier, Morocco. #NguvuMoja
Uzuri au ubaya wa jezi ni perception tu, amevaa nani? Imemkaaje? Wamevaa timu na wamepata matokeo gani? Ndivyo vitu vinavyoipa jezi uzuri.
To me sijaona ubaya wa hizi jezi.