"I want to tell you Tanzanians, we don't have any uncle or aunt in Europe who will solve our problems. It's a must that Tanzania be built by Tanzanians themselves, this country is rich."
- John Magufuli (Former President of Tanzania)
Your Comments on this...
Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia kesho atafanya Ziara ya Kikazi Vatican ambapo atakutana na Papa Francis. Atakapowasili, atapokewa rasmi na Papa Francis kwenye Ofisi za Papa na kufanya naye mazungumzo ya faragha, kisha Papa Francis atakutana na ujumbe mzima wa Rais @SuluhuSamia. Baada ya Mkutano na Papa Francis, Mhe Rais @SuluhuSamia atakutana na Kadinali Pietro Parolin, Msaidizi Mkuu wa Papa Francis kwenye Serikali ya Vatican pamoja na Askofu Paul Gallagher, Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa wa Vatican. Katika ujumbe wake, pamoja na viongozi wa Serikali na Wasaidizi wake, Mhe Rais ameongozana na wawakilishi wa waumini Wakatoliki wafuatao kukutana na Papa Francis:-
1. Bi. Eveline Ntenga - Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA), Rais wa Wanawake Wakatoliki Afrika.
2. Prof. Deogratias Rutatora - Mwenyekiti wa Halmashauri ya Walei Taifa.
3. Bwana Leonard Mapolu - Mwenyekiti wa Umoja Vijana Wakatoliki Wafanyakazi Tanzania (VIWAWA)
4. Bwana Dalmas Gregory - Mwenyekiti wa Halmashauri ya Walei Zanzibar
5. Bi Teresia Seda - Mwenyekiti wa Utoto Mtakatifu Jimbo Kuu Dar es Salaam
Ziara hii inafuatia mwaliko wa Baba Mtakatifu Francis kwa Rais Samia.
If I see any rubbish Free Kizz Daniel hashtag I will wipe you cord, because you people in Nigeria accept the barest minimum from your people don’t mean Tanzania should do same. He should be sued to court for breach of contract. Rubbish