@polo_kimanii Nikiwa form 2 mzee alinipa torch kumbe haikuwa imecharge nikasema si wacha niende nicharge shule akakubali,mistake 3 days ilipita kama sijaleta ile kugongwa niligongwa nilienda shule asibuhi nikasimama kwa mlango ya store keeper mpaka anipe torch.wakati alifika sikungoja ni home