@PrimeCinemas2 @Sulphuric_aci17@De_Cyola@EsirEid Kwahyo hapa ndio umejiona una akili ??, unatuletea physical chemistry ya form faivu. Elimu unayo , ila imeshindwa kutumia vizuri.
Majibu n complete dissociation na pH = -log[H ions].
Haya njoo kwny mjadala sasa
@De_Cyola@kiwirachief Nan alikuaminisha kuwa yule kwny filamu ni Yesu ????
Inashangaza sana kuona mtu mzima unaandika ujinga kama huu , aibu nyingne jitahidi kuzificha.
@fadhili_gavi@siyagaenock1@EliabuDanford@KennedyMmari Hao warusi( Soviet) aliwaua Kwa kupigana nao vita , tumia akili .
Mm nazungumzia zile slogans take alizoanzisha za kuua wayahudi around Europe.??
Alijuaje Hawa ni wayahudi mpka akawabagua , na kuwaua around 6 millions.
Hizo stori za kuua Soviet , naweza nkakueleketa zote.
@EliabuDanford@niggaEddo@EliabuDanford Kulikuwa na option ya kuwapekeka Argentina pia. Watu wanachanganya sana.
Je Hitler wakati anawaua wayahudi , aliwaua wajerumani million 6 ,waliobadili dini kuwa wayahudi au Aliya wayahudi Kwa sababu ya asili au kabila lao ??
@siyagaenock1@fadhili_gavi@EliabuDanford@KennedyMmari Sishangai hilo , maana wanadai kuwa Quran ilikuja Kwa lengo la Kuthibitisha na kurekebisha maandiko (torati na injili ) Yana makosa mengi. Inawezeka ikawa hivyo 🤔
@fadhili_gavi@EliabuDanford@KennedyMmari Makabila 11 yaliyobaki hayakuwa organized ndio mana hayapo, hata kwny Biblia tangu alivyokufa mfalme Suleimani ndio yalipotea . Isipokuwa hili kabila la wayahudi ambalo liliendelea kuwepo
@fadhili_gavi@EliabuDanford@KennedyMmari Unajua wayahudi maana yake ni nn ??,
Na kwann iwe ngumu kuwapata Leo??
Na kama ni ngumu , ni wap ushawahi kuona au kusikia kuna wayahudi wenyewe wanasema kuwa wayahudi wa Israel sio wenyewe ??
@kikomasta Korea ana rasilimali gan , au unadhani trump anaangalia nyuklia tu ?? , angekuwa na mafuta ingekuwa chap tu ashapigwa. Ukiwatoa washirika wake USA ni china, Japan, na Russia tu ambao USA hawezi kuwapiga kutokana na sababu nyingi , ila sio uwezo wa kijeshi.