@saed_ameer88@Isayadicksonjr Anao matajiri kwenye kichwa chake alie wa point ambao kiuhalisia yuko sahihi kama Elon pesa aliokua nayo ni utajiri wa uchumi wa nchi kadhaa tu
@SeekNaturalLife Lakin pia sababu ya nyenginr kuna wanaokimbiwa na treni wakiwa tu wamechelewa kucheck in au wengine kughairisha safari kutokana na sababu mbali mbali
@SeekNaturalLife Clicked choosen seat kwa dakika kadhaa mpka pale sesion itakapoisha kwa wale wanaokata ticket vyema kulipia pindi tu inapokua reserved kwa muda husika kuepusha mtu mwengine kuiwahi
@saed_ameer88@bonifacejoseph_ Sheikh Saed unapomzungumzia Ricardo kaka unaongelea mchezaji bora kwa wakati wake haimuondolei yeye kua bora kwa sababu iniesta ni bora zaid yake kaka hakudumu kwenye soka kwa muda mrefu kulinganisha na iniesta na hiyo imekua hulka ya wachezaji waki brazil