Watu wanajadili urembo na ushindi mtandaoni, wakati mfumuko wa bei na changamoto za usafiri wa daladala Dar zinatupa changamoto kila siku. Vipaumbele vyetu viko hivi jamani? ππ #DarEsSalaam#TZ
Pongezi kwa Klabu ya Simba kwa ushindi dhidi ya watani wenu wa jadi, Klabu ya Yanga, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Wakati wote mchezo baina yenu (Dabi ya Kariakoo) na kwa hakika michezo kwa ujumla, inaendelea kutupa burudani huku ikiimarisha umoja na mshikamano wa Watanzania wote.
Dabi ya Kariakoo kupigwa kesho! πΉπΏπ₯ Simba SC na Yanga SC zanakutana katika Mchezo wa NBC Premier League tarehe 10 Oktoba 2026! Macho yote Uwanja wa Benjamin Mkapa β nani kuondoka na pointi 3 na tambo za jiji? β½οΈπ₯ #SimbaSC#YangaSC#KariakooDerby#NguvuMoja#NBCPremierLeague
Ansel, mtoto wa Sheebah Karungi, apata jina la jukwaani "Little Bird" akiwa bado mdogo kabla hata ya shule ya chekechea! Sheebah ampa heshima hiyo kupitia vazi la Kanzu. π₯ΉπΆπΎβ¨ #Uganda#SheebahKarungi#Entertainment
οΏ½οΏ½οΏ½οΏ½π£οΈOther kids got report cards. Sheebahβs Amir got a stage name before nursery. Little Bird in a kanzu, Mama missed the premiere.π₯Ή
Mwanaharakati wa haki za Kimaasai, Isaya Olepose, amepinga vazi la serikali kuwahamisha Wamaasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera, akidai hatua hiyo inalenga kufuta kabisa historia na urithi wao katika eneo hilo. πͺπΉπΏ #Ngorongoro#Wamaasai#Tanzania

Polisi Arusha inamshikilia mtu mmoja kuhusiana na kifo cha Rebecca Naffi aliyekutwa amefariki ndani ya nyumba yake Ambureni, Arumeru. Kamanda Masejo kasema uchunguzi unaendelea na kuomba ushirikiano wa wananchi. π¨ποΈ #Arusha#News
#HABARI Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja kuhusiana na tukio la kifo cha Rebecca Naffi, aliyekutwa amefariki dunia Oktoba 08, 2026 muda wa usiku ndani ya nyumba aliyokuwa anaishi, iliyopo kata ya Ambureni Wilayani ya Arumeru.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo leo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha SACP Justine Masejo, amesema wanaendelea na uchunguzi wa kina kubaini mazingira ya tukio hilo pamoja na kuwabaini wote waliohusika kwa hatua zaidi za kisheria.
Jeshi la Polisi Mkoani humo limetoa wito kwa wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi hilo, na kuomba ikiwa mtu yeyote ana taarifa zinazohusiana na tukio hili azifikishe katika kituo chochote cha Polisi.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha