Timu 3 za 🇹🇿 zilizo fika fainali kimataifa na kukosa kombe
:-yanga/ 2-2 kanuni ikatubana
:-serenget byz/1-1 penalty 4-2
:- simba/ hawa walipokea kipigo cha mbwa mwizi
Unahisi tuna feli wapi kama taifa ?
kwenye kila movie kaa upande wa starling ili kukwepa kuumia mwishoni....hii world cup 2026 inaenda kuonesha nani ni mfalme wa kweli wa soka wa karne hii
Ligi ya bongo kila msimu ndio ligi inayo wahi kuanza na kuchelewa kuisha...Yani ligi ina mapumziko mengi kuliko idadi ya mechi mara muungano mara mapinduzi yani utafikiri Tanzania ndio nchi pekee duniani iliyo ungana.
Ukiwaona kwenye picha walivyo pendeza unaweza ukadhani ni wachezaji kweli kumbe wote kwa pamoja wakijumuisha magoli yao na assist zao hazifiki idadi ya Allan okkelo
Tangu ligi ianze nikumbusheni ni nani aliwahi kufunga goli mbili mbili kwenye mechi 4 mfululizo tofauti na okkelo
🆚Coastal ⚽️⚽️
🆚Dodoma Jiji ⚽️⚽️
🆚Singida BS ⚽️⚽️
🆚Namungo ⚽️⚽️
Kwa ajili ya mwanamke 1 dunia iliingia kwenye dhambi na kwa ajili ya mwanamke 1 ziara ya rio imeonekana ya kipuuzi...waja wamenyanyua mapanga juu kwenye swala la kitaifa mtangazaji kaleta utimu