PACSO is an umbrella organization established in 2004 and registered under the Zanzibar Societies Act no 6, of 1995 on 30th May, 2005 with registration no. 357
Oct 14, 2024 @Pacsotz wamejaza dodoso linalohusu utakatishaji wa fedha haramu. Tukio limefanyika wakiwa na Mrajisi kutoka Pemba majira ya saa 4:30 asubuhi ofisini PACSO
Septemba 5.2024 PACSO iko shehia za Vitongoji na Kibokoni kwenye kongamano la wazi la wanajamii kuhusu njia za kutokomeza vitendo vya udhalilishahaji kongamano hilo linafanyika skuli ya Vitongoji ambapo kulitanguliwa na mtazamo kijiweni kuhusu udhalilishahaji @TAMWA_Zanzibar
August 13, 2024 #Gomban Pemba. Katibu wa @Pacsotz Bi Sifuni Ali Haji akitowa neno la shukran katika ufungaji wa mafunzo yalioanza 7-13/08/2024 kwa wakulima wa mwani, wafugaji wa kaa na tango bahari. Kupitia mradi unaotekelezwa na #IRDP kwa ufadhili wa @undptz
August 9,2024 Samail #Gombani Pemba. M/kiti wa kikundi #TUSITIRIANE Kurthum Moh'd akifanya mazoezi ya kutengeneza nyunzi kwa kutumia mwani. Ikiwa ni muendelezo wa mafunzo yanayotolewa kupitia Mradi wa #UCHUMIWABULUU unaotekelezwa na #IRDP kwa ufadhili wa @undptz
August,8 2024 #Gombani Pemba Wakulima wa Mwani wakionesha ufungaji tofauti wa mwani. Ikiwa ni muendelezo wa mafunzo kwa wakulima wa mwani, wafugaji wa kaa na majongoo ya pwani, yanayotolewa kupitia Mradi wa #UCHUMIWABULUU unaotekelezwa na #IRDP kwa ufadhili @undptz
Leo August 7, 2024 @Pacsotz pamoja MDIPAO wakishirikiana na Wataalamu Kutoka UDSM na UDOM wameanza kutowa mafunzo ya siku 6 kwa wafugaji wa mwani, majongoo na kaa kupitia mradi wa UCHUMI WA BULUU unaofadhiliwa na @undptz katika Ukumbi wa Samail Gombani, Pemba.
INNALILLAH WAINNA ILAIHHI RAJIGHUUNI @Pacsotz yatowa pole kwa Familia, Jamaa, Wafanyakazi na Wote walioguswa Kufuatia kifo cha Mkurugenzi wa CHAPO Marehemu Nassor Billal Ali Leo August 7, 2024 majira ya saa 3 asubuhi. Allah ampe kauli thabiti. AMIIIN
Neil Ngala na CPA Tusekile Anangisye kutoka @FCSTZ Walitembelea ofisi za ZSSF Pemba kama sehemu ya #ZiaraYaUfuatiliaji wa mradi wa #UraiaWetu.
๐ธ Timu ya FCS ikisikiliza maelezo kutoka kwa Naibu Mkurugezi Mkuu Ndugu Omar Ramadhani (katikati) kuhusu Jinsi wanavyoendelea kukabiliana na maswala yaliyoibuliwa kupitia Mikutano ya Wakurugenzi (Directors forum) iliyoandaliwa na mdau wetu PASCO #AzakiNaJamii
Leo July, 31, 2024 @Pacsotz pamoja na Maafisa wa @FCSTZ wamefanya ziara kwenye ofisi ya ZSSF Pemba pamoja na ofisi ya Mrajisi Pemba kuangalia maendeleo ya changamoto ambazo ofisi hizo walizipokea kutoka kwa baadhi ya Wakurugenzi wa AZAKI Pemba katika mkutano wa tarehe 25/05/2024
Leo July 30, 2024 @Pacsotz wamekutana na Maafisa kutoka @FCSTZ kupitia mradi wa URAIA WETU unaofadhiliwa na EU. Leongo ni kufanya majadiliano kuhusiana na shuhuli ambazo zimeteketezwa katika robo ya mwaka katika mradi wa URAIA WETU. Mkutano umefanyika ofisni PACSO saa 2:00 am.
19/07/2024 Ndani ya ukumbi wa manispaa Chake @Pacsotz kwa kushirikiana na chuo cha Mipango na UDSM kwa ufadhili wa @undptz wamewakusanya wakulima wa mwani, na wafugaji wa kaa , samaki na majongoo ya pwani Ili kujadili changamoto zao zinazowakumba.
June 21, 2024 @Pacsotz chini ya @FCSTZ kwa ufadhili wa EU imewakutanisha waandishi wa habari na asasi za kiraia Pemba. Lengo ni kuandaa mikakati yakuzibua changamoto zinazoikabili jamii hatimae kuzisemea na kuzifuatilia katika mamlaka husika ili kuchochea maendeleo kwa jamii
This morning, Ambassador Mary OโNeill paid a courtesy visit to Tanga ๐น๐ฟ RC Ambassador Dr. Batilda Buriani to discuss Irelandโs ๐ฎ๐ช work in the region, particularly our #MaziwaFaida & #BahariMali climate programmes, & the #genderjustice work of our partnersโ @FeminaHip & @UZIKWASA.
@Pacsotz kwa ufadhili wa @undptz chini ya @IrlEmbTanzania wamewapiga msasa wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Vitongoji kwa kuwapa elimu ya kujitambua ili kufikia malengo yao.