Working out is tough.
Being out of shape is tougher.
Having hard conversations is tough.
Living with stress and anxiety is tougher.
Building a business is tough.
Selling your soul for 30 years to a faceless corporation is tougher.
Pick your tough.
@EduTalkTz Bro una argue na watu wanaoamini nyoka aliongea anaconda aliogelea kutoka ararat hadi amazon jamaa wa kiarabu alicross galaxy kwa kutumia farasi mweny mabaw....kazi unayo😂😂😂😂😂😂
@PCatnho 😂😂😂 kwani wanaoabudu mungu hawapati majanga ?? Elon musk haabudu mungu na ni tajiri no moja.....me nlishawahi kuumwa kukaribia kufa lakini sikumuomba mungu hata mara moja
@KennedyMmari Kwa sababu case ya Allah na Yahweh ni kuwa SAW aliipenda concept ya Yahweh akaongeza vionjo na udambwiudambwi wake and then booooom here we are....