🌆Umeshawahi kufika DUBENGA❓
✈️ Hii ndiyo nafasi yako, Suka mkeka wako wa mechi yoyote leo huku ukijaza na Airtel Money uingie kwenye DROO ya washindi itakayochezeshwa Jumatano ya kesho kwenda Dubai kula bata
Pakua App ya Parimatch leo 🔥
#DubaiKumenoga#ChezaUshinde
🎉 Hongera kwa washindi wetu wa MSHIKO DEILE kutoka kwenye kampeni yetu ya #DubaiKumenoga
🚀 Jaza na Airtel Money kisha beti kwenye mechi za leo uingie kwenye DROO ya kwenda Dubai Kula bata kwa siku 4
Tembelea https://t.co/rOyCdPYNC3 kucheza sasa
#ChezaUnashinde
📷Hii ndiyo ratiba ya michuano ya Parimatch Kitaa
📷 Tukutane Zakhiem wikiendi hii tufurahie burudani ya soka la aina yake tukisuka mikeka ya ushindi na Parimatch
#ChezaUshinde#ParimatchKitaa
pamoja na Rangi tatu FC), na mfumo utakaotumika na wa mtaono hadi fainali kumpata bingwa atakayechukua kikombe na pesa taslimu MILIONI 1
Follow kurasa ya @parimatch.co.tz kufatilia michuano hii hatua kwa hatua
#ChezaUshinde#ParimatchKitaa#Parimatchtz
⚽️ Parimatch Kitaa, inazinduliwa rasmi leo, uko tayari?
ℹ️ Parimatch Kitaa ni mashindano yalioandaliwa na @parimatch.co.tz, kwa malengo makuu ya kuendeleza vipaji na kugawa vifaa vya mazoezi tukianza na mchezo pendwa zaidi wa soka
📍 Awamu ya kwanza ya Parimatch Kitaa itafanyika wikiendi hii kwenye viwanja vya Zakhiem, Mbagala tarehe 18 na 19 Mei 2024 yaani Jumamosi na Jumapili
👕 Parimatch Kitaa itahusisha timu 8 mbazo ni (Faru Dume, Karume FC, Kawe UTD, Makubuli FC, Kauzu FC, Namanga FC, Mpakani FC
📸 Mshindi wetu wa Twenzetu Dubai na Parimatch ndugu Daniel Kasanga akiwa na balozi wetu Zaylisa
🌆 Daniel amefika Dubai salama kabisa, Bata la kibabe limeshaanza, mapicha picha yanakuja 🔜
#TwenzetuDubai#ChezaUshinde
✈️ Twenzetu Dubai na Parimatch
🚀 Tumezindua rasmi kampeni yetu ya #TwenzetuDubai na Parimatch ambapo mpango mzima wa kujishindia tiketi ni kucheza Aviator ndani ya Kasino la Parimatch, kila Alhamisi mshindi mmoja atatangazwa
Cheza Aviator sasa kupitia https://t.co/rOyCdPYNC3
🔥Hongera kwa washindi wetu wa Parimatch VIP Experience mechi za CAF
🎯 Bado hujachelewa, suka mkeka na Parimatch kwenye mechi kali za leo kisha share mkeka wako ukitutag @parimatch.co.tz uibuke mshindi
🏟Twenzetu Tukacheki Yanga vs Mamelodi Live
🎯 Mpango kazi wa kushinda tiketi na jezi ni rahisi sana, Beti kwenye mechi hii na nyingine yoyote kisha posti mkeka wako Facebook, Instagram au X (Twitter) kisha tag @parimatch.co.tz bila ya kusahau kuweka hashtag #WanachezaUnashinda
🔢 Odds kubwa kuliko kote
💡 Suka mikeka ya ushindi ukifurahia odds kubwa kwenye mechi kali wiki hii ya Champions League
🚀 Jisajili upate bonus ya hadi TZS 1,000,000 leo