"Kula chimvi nyingi uishi miaka mingi"
Mwili wako unautaratibu mzuri sana wa kupunguza chumvi ikizidi mwilini.
Sukari ni hatari kwa mwili wako, mwili hauwezi kuitoa sukari iliyozidi, unaibadilisha kuwa mafuta, ndio maana umenenepa (Insulin Resistance).
Miaka ya 2000 mademu wenye majina haya ulikuwa huwambii kitu:
Vaileth - Matonya
Anitha- Matonya
Hidaya - Pasha
Latifa - Mb Dog
Nyota -TID
Tuma - Best naso
Neilah - Tundaman
Selina - Alicom
Ongeza na yako.
Mwanamke,
Ukiwa kwenye ndoa, tulia - usivunje ndoa kwasababu ya usaliti wa mwanaume.
Ikiwa utavuinja, pole utakuwa umechagua kuwa mzinzi/msaliti wa kiwango cha juu sana maana hakuna uhakika wa kuolewa na huyo mwanaume wa kwanza mara baada ya kutoka kwa mumeo,
#Lifeaffairs
Mifumo ya mwili wako inafanya kazi vizuri ikiwa tumbo lako halina chakula.
Jutahidi kwa wiki funga masaaa 54,
Pata chakula cha usiku kabla ya saa 2,
Lala masaa 6 - 8 (deep sleep),
Hongera - Umechagua kupona presha, kisukari cha 2, satatani inayoanza na magonjwa ya figo.
Mwanaume hutafuta vitu ili vimsaidie kupata mtu, mwanamke hutafuta mtu ili amsaidie kupata vitu,
Rudia tena kusoma👆.
Hakuna mwanaume yeyote mwenye thamani mbele ya mwanamke nje ya mali zake.
Rudia tena kusoma 👆.
#Kabipenanke.
Ukiacha kula asubuhi, chakula chako cha kwanza na cha mwisho kiwe saa 12 jioni, ulale saa 3 usiku. Ukifanikiwa kufanya hivyo kwa kipindi cha mwezi mmoja,
Utapona Presha, kisukari namba 2, figo zako zitaimalika sana, mafuta kwenye ini na moyo yataondoka haraka mno
#Kabipenanke
There is a strong connection between male sexual power and his legs,
Your sexual power is at your legs. Yes, it's at your legs.
Walk distances every day to strengthen your legs and sexual power as well.
People will never be the same. They are now supporting where they expect returns,
Hope/spiritual investment return is very difficult to measure,
Church Pastors nowadays live a good life and own range rovers, V8s & good houses, while Believers/Followers own hope and poverty.
Imbalance between the body #requirements vs. #Consumptions lead to body #fat. B'se human body can't store #glucose, the insulin hormone transforms glucose into fats and stores them in different areas eg, abdominal belly, waist, face, buttock e.t.c
#LifeLongevityEnthusiast
Dear Men,
At the moment you're married, promptly you've reduced your life expectancy by 10%. If you were expected to live 70 years, you have cut 7 years down. Do you know why she fights telling you protect wealth?
She's worrying how she will stay with kids under your absence.
Dark side of the women,
It's true they think deeper but emotionally,
They can cry in whatever situation - sadness or happiness.
But remember, women use emotional actions as weapons to kill/weaken a man.
Dear men, do not fall into those emotional tricks - utakufa vibaya wewe
Ulishawahi kujiuliza kwanini mtu akiugua anakonda au kupungua mwili au uzito?
Ok, mwili hujipa kipaumbele kupambana na ugonjwa wakati huo unakunyiima haki au hamu ya kupata chakula (Anorexia) ili utumie mafuta (Fats) na misuli (muscles) kujipa nguvu na kuimarisha kinga ya mwili.
Longevity Enthusiastic Corner.
What happens to your body during and after fasting?
1. Autophage
2. Detoxification
3. Immunization
Results: No diseases
Life longevity,
Binadamu wa kale walikula mara 3 kwa wiki, wewe unakula mara 4 kwa siku 🥹
Ikiwa unakula mara kwa mara ujue wazi kwamba mwili wako hauna likizo, hivyo jiandae kwa magonjwa haya:
Saratani, Shinikizo la juu la damu, Kisukari, na magonjwa ya figo.
It's better your Insuline hormone to be sensitive than resistant.
Nakukumbusha kufunga ni dawa ya hayo yote.